Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi (CUF)
Profesa Ibrahim Haruna Lipumba(kulia) akiongea na waandishi wa
habari juzi kwenye eneo la Bunge mjini Dodoma kuhusu mapungufu
aliyoyaona katika Bajeti ya Serikali ya 2012/13 .
Mwenyekiti wa Chama
cha Wananchi (CUF) Profesa Ibrahim Haruna Lipumba(kulia) akiongea na
waandishi wa habari leo kwenye eneo la Bunge mjini Dodoma kuhusu
mapungufu aliyoyaona katika Bajeti ya Serikali ya 2012/13 . Mwingine
ni Naibu Mkurugenzi wa Mipango , Uchaguzi na Bunge wa Chama cha
Wananchi(CUF) Shaweji Mketo(kushoto)
No comments:
Post a Comment