Godbless Lema
wa Arusha Mjini, inaendelea kuunguruma leo baada ya
Mahakama Kuu Kanda ya Arusha kutupilia mbali pingamizi za awali
zilizowekwa na mawakili wa utetezi, Method Kimomogoro na Timon Vitalis.
Jaji Aloyce Mujuluzi alitoa uamuzi wa pingamizi zilizotaka kesi hiyo
itupiliwe mbali kwa madai kuwa, walalamikaji hawakuwa na haki kisheria
kulalamikia mambo ambayo...
No comments:
Post a Comment