Afisa
habari wa Coasta Union, Edo kumwembe akimkabidhi jezi mshambuliaji mpya
wa timu hiyo, Atupele Green ambaye ni mshambuliaji namba moja wa timu
ya taifa ya vijana chini ya miaka 21. Guys get ready...the young boy is
real deal...ana mwili mkubwa, nguvu, kasi, stamina...mtambo wa mabao.
Coastal Union, here we go!!!
No comments:
Post a Comment