MLIPUKO WA MABOMU WATOKEA NCHINI NAIROBI, KENYA
Watu wakiwa na mshangao nje ya barabara.Mpaka sasa watu wapatao 30 wamejeruhiwa baada ya mlipuko uliotokea Moi Avenue-Nairobi, Kenya na kusababisha baadhi ya majengo kushika moto; idadi hiyo imetolewa na NTV ya nchini Kenya. Chanzo cha mlipuko huo hakijafahamika mpakaMajeruhi wakiingizwa kwenye gari la wagonjwa kukimbizwa hospitali
No comments:
Post a Comment