Mkono wa kushoto ni mkurugenzi wa NSSF taifa,Dkt.Ramadhani Dau
akimkabizi mchezaji wa timu ya Coastal Union ya jijini Tanga cheki ya
million 25 juzi uwanja wa Mkwakwani alipotembelea pambano la karne dhidi
ya African Sports ambapo matokeo Coastal Union ilitoka kwa ushindi wa
bao 1-0.
Pichani mkono wa kushoto aliyevaa fulana ya mistari na miwani ni
mkurugenzi mkuu wa NSSF taifa,Ramadhani Dau mara baada ya kumkabidhi
cheki ya million 25,mchezaji wa timu ya Arican Sports akitoa maelekezo.
Pichani ni mkurugenzi mkuu NSSF taifa,Dkt.Dau akiteta kitu na meneja wa
NSSF mkoa wa mkoa wa Tanga,Dkt.Frank Maduga ambaye amevaa fulana ya
njano mkono wa kulia juu ya zawadi za washindi .
Hizi ni zawadi zilizotolewa kwa timu za soka wanaume na wanawake juzi mkoani Tanga.
No comments:
Post a Comment