Timu ya jijini tanga african sports ambayo mpaka sasa imenyakua points 23 katika msimamo wa ligi daraja la kwanza hapo kesho january mosi 2015 itaumana na lipuli ya iringa na katika kinyanganyia kushika nafas nimeongea na kocha wa african sports kwa njia ya sm amesema wamejiandaa vyema na wako tayar kuivaa lipuli kesho mnamo saa kumi mchana pamoja na hayo amesema kuwa kunachangamoto katika uwanja wao ambao ni huu
huu ni uwanja ambao umendaliwa kwa ajili ya mechi ya kesho dhid ya AFRICAN SPORTS NA LIPULI
Leo asubuhi wachezaji wetu wamefanya mazoezi uwanja wa samora (iringa) ya kujiandaa na mechi ya kesho dhidi ya lipul fc
No comments:
Post a Comment