Baada ya
kumpa shavu The Heavy Weight MC Profesa Jay kwenye joto hasira, Lady JayDee
a.k.a Anaconda anaendeleza utamaduni wa kuwapa mashavu wasanii wakongwe na
wakali..hivi karibuni alirekodi wimbo na Q chilah, and guess Who’s next, ni
Juma Kassim Nature Kiroboto.
Kupitia
akauunti yake ya twitter Anaconda amewapa fans wake good news kuhusu ujio wa
ngoma yake na Juma Nature, huku akitaka kujua kama wako tayari kuipokea.
fans wengi
waliipokea habari hiyo kwa shangwe lakini Jide aliwaeleza kuwa sio kwamba kila
wimbo anaorekodi sasa hivi atauachia sasa hivi.
“Tunarekodi tu nyimbo ili ziwepo ila
haimaanishi zote...
No comments:
Post a Comment