..

..
.

Wednesday 16 January 2013

MZEE MKAPA NA MZEE MSUYA WATOA MAONI YAO YA KATIBA LEO

Rais Mstaafu Mhe. Benjamin Mkapa (kulia) akiongea na Wajumbe wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba Jaji Mkuu Mstaafu Augustino Ramadhani (katikati) na Dkt. Salim Ahmed Salim. Wajumbe wa Tume walikutana na Rais huyo Mstaafu leo (Jumatano, Jan 16, 2013) jijini Dar es Salaam ili kupata maoni na uzoefu wake katika uandishi wa Katiba Mpya.
CRC-Mzee Msuya1 04783
CRC-Mzee Mkapa Nje1 6f082





No comments:

Post a Comment

KARIBU