Maji yakiwa yamekusanyika nakuzamisha baadhi ya nyumba Majengo Mtwara eneo la Chuno huku athari kubwa zikitarajiwa kuwepo kutokana na mvua hiyo kuendelea kunyesha mchana huu. |
Baadhi ya wananchi wa eneo la Majengo Mtwara wakiangalia mafuriko ya maji huku wengine wakijaribu kwenda kuokoa baadhi ya vitu vyao kwenye nyumba. |
Hali halisi kwenye eneo hilo. |
Dua zinahitajika kuomba mvua inayoendelea kunyesha isimame. |
No comments:
Post a Comment