Mkuu wa wilaya wa tanga Bi Halima Dendegu
aliechukua fursa ya Mkuu wa mkioa wa Tanga Bi Chiku
Bi halima akitembelea miradi mbali mbali jana katika viwanja
vya mkwakwani hapo jana
Hapa akiwa nakiana alieamua kuacha madawa ya kulevya na
nakuomba apatiwe mkopo aweze kijiendeleza katika baishara
wanafunzi nao hawakuwa nyuma katika sherehe ya uhuru
Baaadh ya shule za sekondari zikipitisha mabango yao
Mdada alieamua kujitolea katika kuongoza bend katika
shule za msingi
Heshima kwa mgeni rasm zilipita katika vikundi mbali mbali
No comments:
Post a Comment