Askari
wa Jwtz wakiwa wamebeba moja ya jeneza la mwili waaskari wa 3 wa jeshi
hilo waliofariki kwa ajali ya maji wakivuka mto Lamada, Sudani
walikokwenda kulinda amani chini ya jeshi la umoja wa Mataifa muda mfupi
kabla ya kuiaga mili hiyo Lugalo jijini Dar es Salaam
Askari wa JWT wakingiza miili ya marehemu katika Gari tayari kwa safari ya kuelekea mikoani kwa ajili ya Mazish
Mkuuwa Majeshi nchini Devis Mwamunyange akifariji mke wa moja wa askari walifariki Bi, Fatuma Chunguile
Mkuuwa Majeshi nchini Devis Mwamunyange akitoa heshima za mwisho kwa miili ya marehemu
No comments:
Post a Comment