..

..
.

Monday, 3 September 2012

BREAKING NEWS: MTU MMOJA AFARIKI DUNIA BAADA YA VURUGU KALI KUTOKEA KATI YA POLISI NA CHADEMA MKOANI IRINGA LEO


Habari za hivi punde zinadai   kuwa  Mwenyekiti wa Chama cha Waandishi wa Habari Mkoa wa Iringa (IPC), Daudi Mwangosi, pichani - amefariki dunia kijiji cha Nyololo, Mufindi, Iringa baada ya kutokea vurugu baina ya polisi na wafuasi wa chama cha Chadema.

Habari zilizotufikia kutoka huko, zinadai kuwa Mwangosi, ambaye ni mwandishi wa habari wa kituo cha Televisheni cha Channel ten, amefariki papo hapo.

No comments:

Post a Comment

KARIBU