..

..
.

Friday 8 June 2012

URUSI VS CZECH - VITA YA WASHIKA BUNDUKI WA LONDON ROSICKY NA ARSHAVIN





 VIKOSI VITAKAVYOANZA
RUSSIA: 1: Akinfeev 2: Anyukov 3: Zhirkov 4: Berezoutski 5: Ignashevitch 6: Denisov 7:Zyryanov     8: Dzagoev 9: Kerzhakov 10 Arshavin 11: Shirokov


CZECH REPUBLIC - 1: Cech 2: Selassie 3: Kadiec 4:Sivok 5: Hubnik 6: Piasil 7: Petrzela 8: Hubschman 9: Baros 10: Rosicky 11: Rezek

MAMBO MUHIMU KUHUSU TIMU
  • Mchezaji wa Sporting Lisbon Marat Izmailov ndio mchezaji pekee aliyekuwa akihofiwa juu ya ufiti wake kuelekea kwenye michuano hii lakini sasa amerudi kwenye hali yake ya kawaida kwenye mazoezi pamoja na Alan Dzagoev, nchini ya nahodha Arshavin.
  • Safu pekee ambayo itakuwa na upinzani ni kwenye goli, Akinfeev atakuwa akipambana na Malafeev.
  • Czech watakuwa na nafuu kwamba mchezeshaji wao Tomas Rosicky amepona kutoka kwenye majeruhi na huku akiwekwa kwenye kikosi kitakachoshiriki kwenye michuano hii na anaweza kucheza nyuma ya mshambuliaji wa kati akama ambavyo katika nusu ya msimu alipokuwa Arsenal.
  • Striker Milan Baros, ambaye japokuwa ana tatizo la misuli na alifanyiwa vipimo juzi jumatano ili kupata uhakika wa ufiti wake, na kama hatokuwa fiti basi Necid na Pekhart watakuwa wanaisubiri nafasi yake.
  • Wachezaji wengine muhimu watawahusisha wachezaji wazoefu kama vile Peter Cech, Kadlec na Plasil

No comments:

Post a Comment

KARIBU