Muda mfupi
baada ya Wayne Rooney kuwafunga Ukriane kweye Euro 2012 na goli la
kichwa, mshambuliaji huyo wa England alishangilia goli kwa mtindo wa
kujipulizia dawa ya nywele kichwani.Haikuwa
ishara ya kuonyesha mafanikio ya ya upasuaji alioufanya wa kuotesha
nywele, bali ilikuwa ni ishara kwa mchezaji mwenzie Andy Carroll,
ambaye alimuazima Rooney dawa hiyo ya nywele na kupulizia kabla ya
mechi na Carroll alimwambia Rooney afunge bao la kichwa.
No comments:
Post a Comment