Makamu wa Rais wa Afrika ya Kusini
Kgalema Montlante akihutubia wageni waliohudhuria sherehe ya kuzindua
rasmi mikakati ya afrika Kusini kuwaenzi wapigania uhuru wake kupitia
taasisi ya SOMAFCO TRUST kwenye ukumbi wa ndani wa Diamond Jubilee
Wageni waalikwa kutoka Vyuo Vikuu na
Taasisi mbali mbali,wakiwemo pia kutoka Afrika Kusini na nchi marafiki
wakisikiliza kwa makini hotuba ya makamu wa Rais wa Afrika Kusini
alipoutubia juu ya mikakati ya kuenzi wapigania uhuru,ambapo alisema
Mzimbu na Dakawa kutajengwa kumbukumbu maalumu za kistoria kusaidia
vizazi vijavyo kutambua wapigania uhuru wao.
No comments:
Post a Comment