Rais Dk. Jakaya Mrisho Kikwete
akiwa katika mazungumzo na viongozi wa kampuni ya kilimo ya YARA ya
nchini Norway inayoshughulika na uzalishaji wa mbolea wakati
walipomtembelea ikulu jijini Dar es Salaam jana. Kampuni hiyo ina andaa
mipango ya kuzalisha mbolea nchini.
Rais Dk.Jakaya Mrisho Kikwete
akiwa katika picha ya pamoja na viongozi wa kampuni ya Kilimo ya YARA
ya nchini Norway wakati alipomtembelea ikulu jijini Dar es Salaam
Jana.Picha na Abdullrahman Yusuph
...............................................................................................................................................
No comments:
Post a Comment