| WASHITAKIWA MOHAMED RASHID KUSHOTO NA ALLY NGUMBE WAKITOKA KATIKA KIZIMBA MARA BAADA YA KUTOLEWA HUKUMU YA KUNYONGWA LEO |
| MSHITAKIWA ALLY NGUBE ALIWAAGA NDU NA JAMAA MARA BAADA YA KUTOLEWA KWA HUKUMU YA KUNYONGWA HADI KUFA LEO |
| MSHITAKIWA SAJETI RODA ROBERT AKITOKA KATIKA KIZIMBA MARA BAADA YA KUTOLEWA HUKUMU YA KUNYONGWA KWA MAUAJI YA SWET FUNDIKIRA |
| SAJETI RODA ROBERT AKINGIA KATIKA GARI LA MAGEREZA KUELEKEA GEREZANI TAYARI KWA ADHABU YAKE ILIYOTOLEWA LEO |
| washitakiwa Ally ngube na Mohamed rashidi na nyum ya maaskari sajet roda robert wakipelekwa katika gari la magereza leo |
| washitakiwa wakipanda difenda kuelekea gerezani mara baada ya kutolewa hukumu ya kifo hadi kufa |
| washitakiwa wakipanda difenda kuelekea gerezani mara baada ya kutolewa hukumu ya kifo hadi kufa |
| ndugu awa marehe swet fundikira wakishangilia kwa huku wakisindika gari lillilowabeba washitakiwa |
| ndugu awa marehe swet fundikira wakishangilia kwa huku wakisindika gari lillilowabeba washitakiwa |
| washitakiwa Ally ngube na Mohamed rashidi na nyum ya maaskari sajet roda robert wakipelekwa katika gari la magereza leo |
No comments:
Post a Comment