BREAKING NEWS: MTU MMOJA AFARIKI DUNIA BAADA YA VURUGU KALI KUTOKEA KATI YA POLISI NA CHADEMA MKOANI IRINGA LEO
Habari za hivi punde zinadai kuwa
Mwenyekiti wa Chama cha Waandishi wa Habari Mkoa wa Iringa (IPC),
Daudi Mwangosi, pichani - amefariki dunia kijiji cha Nyololo, Mufindi,
Iringa baada ya kutokea vurugu baina ya polisi na wafuasi wa chama
cha Chadema.
Habari zilizotufikia kutoka huko,
zinadai kuwa Mwangosi, ambaye ni mwandishi wa habari wa kituo cha
Televisheni cha Channel ten, amefariki papo hapo.
No comments:
Post a Comment